vid

Ni zamu ya Abdul Kiba na Ruby kwenye headline??

gud musicInawezekana ikawa ndiyo singo ya kwanza kushirikishwa mkali Ruby msichana ambaye kipaji chake kilionekana kwenye mashindano ya Serengeti Super Nyota Diva mwaka 2014 na baada kusikika na singo yake mwenyewe inayoitwa Na Yule.

Utaipenda You heard ya Soudy Brown na Mzee Majuto !!

majutooHii imetokea nchini Congo baada ya mmoja kati ya waandaaji wa Matamasha (Promota) kumhitaji Mzee Majuto lakini kwa bahati mbaya Mwenyewe hakufanikiwa kufika sehemu alizoandaliwa show hizo ambazo zilikua Congo na Burundi.