vid

Video mpya ya Makamua ft. SaRaha “TUONGEE” Inakaribia kutoka chini ya Dir Raymond Kasoga

Tuongee coming soon
Tangu wimbo wetu “Don’t cry”, mimi nia Makamua tumetaka kufanya kazi pamoja tena. Sasa tunajiandaa kutoa wimbo wetu mpya! Wimbo unaitwa Tuongee na production imefanikiwa na Legendary music. Sasa hivi Director Raymond Kasoga toka The dream studio anamaliza kazi ya editing.  
Artist: Makamua ft. SaRaha
Song: Tuongee
Production: Legendary music
Director: Raymond Kasoga, The dream studio Sara Larsson

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni