vid

MAMTONI

 

Dj Khaled ametoa video mpya akiwa na wakali Chris Brown,Lil Wayne & Big Sean ‘How Many Times’.


cb-khaled
DJ Khaled ameibuka na mkito mwingine mkali “How Many Times” akiwa na wasanii Chris Brown, Lil Wayne, na Big Sean kutoka kwenye album yake ya nane ‘I Changed a Lot’ inayotoka mwaka huu.


 

Baada ya miaka mitatu Leona Lewis amerudi na hii video mpya.


leona-fire
Baada ya miaka mitatu Leona Lewis amerudi tena kwenye muziki na hii ndio single yake mpya “Fire Under My Feet.”. Mashairi kutoka kwenye wimbo huu yanasema “I got fire under my feet / And I feel it in my heartbeat / No, you can’t put out these flames / You can’t keep me down in my seat,” sings Leona


 

Video mpya ya Future ‘Peacoat’ Ndio hii aisee.

future-56-nights-video-2
Future anaendeleza ila #MonsterMonday kwa kutoa video mpya ya “Peacoat” ikiwa ni wimbo kutoka kwenye mixtape yake.


 

Hatua nyingine kubwa kwenye maisha ya Kanye West.


kanye r
Kanye West [37], Rapa Kanye West sasa ataitwa Dr Kanye West baada ya kutunukiwa shahada ya juu ya falsafa kutoka chuo cha Sanaa cha Chicago.
Kabla ya kupokea cheti hicho Kanye West aliokota chupa za maji zilizotumika kwenye ukumbi huo kwanza na kwenda kupokea cheti chake.

kanye 24 kanye 25
kanye-doctorate
kanye 23

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni