
Soudy Brown akafikishiwa story nyingine kwamba mastaa hao walikutana lakini hawakusalimiana, huku wengine wakisema kwamba Mwasiti amejaribu kuwapatanisha lakini ilishindikana.
Soudy alimtafuta Dimpoz na kumuuliza ishu hiyo, jamaa kasema alikuwa hajui kama Diamond alikuwa eneo hilo na kama angemuona lazima wangeongea… hawana ugomvi wowote kwa hiyo ishu ya Mwasiti kuwapatanisha haipo.
Msikilize Soudy na Ommy Dimpoz hapa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni