vid

Ni Barakah da Prince Feat. Linah kwa pamoja kwenye hii #Siachani Nawe RMX (Audio)

linah picha
Rasmi kwenye masikio yao hii singo ulianza kuisikika January 2015 ambayo kwa sasa ni miongoni mwa singo ambazo ziko kwenye chart ya juu kwenye radio mbalimbali.
Time hii kaamua kumshirikisha mkali mwingine.. Linah kutoka No Fake Zone, hii ni rmx ya Siachani Nawe.

Una chochote cha kumuandikia mtu wako Barakah da Prince??? Ukiandika comment yako hapa itamfikia pia..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni