vid

Video mpya ya Young Thug Ft Birdman ‘Constantly Hating’.

young-thug-constantly
Baada ya mixtape yake mpya ya Barter 6 kutoka, rapa Young Thug ametoa video mpya ya wimbo aliofanya na boss wake Birdman “Constantly Hating” na kutangaza album mpya itakayoitwa Hy!£UN35 na kwamba inatoka August
__________________________________________________________________________________________

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni