vid

Hivi ndivyo alivyopokelewa mwakilishi wa TZ kwenye #AirtelTRACEStar Nairobi, KENYA

SONY DSC
Unamfahamu Mayunga Nalimi? Ni Mbongo mwenzetu huyu.. aliibuka mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star TZ, sasa nguvu yote kaihamishia Nairobi Kenya ambako amekutana na washindi wengine wote kutoka nchi nyingine 12 za Afrika.
Baada ya kufika maandalizi yalianza kama kawaida mtu wangu, labda ungependa kuona maandalizi ya #AirtelTRACEStar Grand Finale yameendaje baada ya huyu staa wetu nae kufika Nairobi !!
Nimeipata hii VIDEO, cheki kila kitu hapo mtu wangu !!



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni