vid

Chid Benzi tena kwenye masikio yako tena,hii kawahusisha Nikki Mbishi na One.. #Yeah

chumaaChid Benz ameamua kuonyesha ukali wake kwa mara nyingine tena na hii kawahusisha wakali wengine wa hiphop Nikki Mbishi na One,wimbo huu umeanza kutengenezwa ka Lamar kisha umemaliziwa kwa Songa.
Wimbo unaitwa Yeah,bonyeza play kuusikiliza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni